Desperate single women, acheni complication

Sidhani kama ni kweli kuwa kuolewa inaendana na umri!Pia sidhani kama ni kweli kuwa madada wanao enda kwa waganga wana umri mkubwa

Ukweli ni kuwa nilipokuwa"fundi"na kibanda changu pale Tandika Mabatini wateja wangu wakubwa waliokuwa wanakuja kwangu kuchukua dawa za kupata mme bora walikuwa na umri kati ya miaka 17-26
 
umewahi kujiuliza kwanini wanadanganya umri wao? hao wa 27 ndo wenye 32! huwa wanapunguza miaka mitano ili uingizwe kingi
 
Huku Tandika vibinti vidogoo ndiyo vinashinda kwa waganga kung'arishwa nyota ili violewe
 
Hahahaaa,uswazi huko kikolo,bila nyota kuwaka unazikwa! lazima waende kwa ustaadhi/fundi asome kitabu
 
Wengi wao hawana hela,tunawapiga dudu ndiyo malipo!Lkn wakienda mitaani na wakiolewa huwa wanarudi kutushukuru kwa kupigwa dudu tena

Alhamdululilah tunafaudu sana sisi waganga pori
 
Ndo maana Kingwangala anataka kuwadhibiti,mnapiga vipapa mpaka vya vigogo!
 
declare your interest for me to respond madam.
hahahahahahahahahaahahhahaha BOB LUSE siwezi kudeclare kwa sababu wether you answer it or not haisaidii kwa sababu ukweli wa kwamba hayo niliyoyataja hapo juu ni lazima yatakuwa yanakuhusu tu hautabadilika na ndo maana unajitahidi kwa kila namna kuja kuondolea stress zako hapa,pole kwa kutendwa mkuu hayo ndo matokeo ya kujifanya muchknow kila kitu unajua na pia kujiona wewe ndo mkamilifu hukosei
Ukiona mwanaume kutwa anashinda kuwaponda wanawake jua kuna tatizo sehemu,hana bahati na mahusiano,kichwa chake kimejaa negativity kuhusu sisi...wanaume type ya Bob wapo wengi sana humu jf wanajipooza kwa kuanzisha thread funny enough hazisaidii,hazibadili kitu... Kuna watu tumeshawashtukia tukianza na Bob,ni mwendo wa kuwaelewa tu jinsi walivyo
This dude posts almost 2-3 threads per day about women..who does that?smh
umeona eeeeh brenda18 huyu mwenzetu tusimlaumu sana yaani akubali akatae hana bahati na watoto wa kike tu am sure 100% kama ni uwongo am ready to be corrected ndo maana povu halimuishi
 
hahahahahahahahahaahahhahaha BOB LUSE siwezi kudeclare kwa sababu wether you answer it or not haisaidii kwa sababu ukweli wa kwamba hayo niliyoyataja hapo juu ni lazima yatakuwa yanakuhusu tu hautabadilika na ndo maana unajitahidi kwa kila namna kuja kuondolea stress zako hapa,pole kwa kutendwa mkuu hayo ndo matokeo ya kujifanya muchknow kila kitu unajua na pia kujiona wewe ndo mkamilifu hukosei

umeona eeeeh brenda18 huyu mwenzetu tusimlaumu sana yaani akubali akatae hana bahati na watoto wa kike tu am sure 100% kama ni uwongo am ready to be corrected ndo maana povu halimuishi
tatizo.sio mada kumbe ni mimi!
hivi ni lazima kuwa ni mtu? wote wenye mahusiano hawana stress? sorry for hitting you hard
 
Simply inaonekana mpaka muda huo kufika wanakuwa hawajajua kilichowafanya kuwa single and fu...ing desperate....

Kazi ipo waache wawe na vigezo vinasaidia kuweka wale ambao wapo tayari kupatikana na wanaume waliopo tayari.... Lazima kuna wanaobaki.....!!!!!

Walikuwa hawaelewi kuwa wanawake wazuri wameolewa .....????? Wataelewa mvi zikianza kutoka
 
tatizo.sio mada kumbe ni mimi!
hivi ni lazima kuwa ni mtu? wote wenye mahusiano hawana stress? sorry for hitting you hard
vyote ni tatizo maada zako na wewe anayezileta ni maada ambazo mtu akisoma between lines lazima kuna jambo atatoka nalo hapo,jambo la kwamba you are not lucky with women ndo maana hasira zimekujaa mkuu BOB LUSE wenzio ambao they are lucky with women katu hutokaa uwasikie kila kukicha wanalalamika kuhusu wanawake never ever

hakuna uhusiano wala ndoa zisizo na stress ila za wenzako zinaweza zikawa treated wanapata stress wanasolve maisha yanasonga ila inaonekana za kwako zimekuwa sugu hazisuluhishiki na ndo maana umeona njia pekee ni kuwaatack wanawake kwenye thread zako kama njia ya kupunguza maumivu,kwa lugha nyingine unachokifanya wewe ni defensive mechanism kwa yaliyokukuta

kwani unataka kuniambia ni mahusiano ya kimapenzi tu ndo yaliyo na stress?ndugu kama kaka na dada huwa hawana stress?hawagombani?ikiwa ndo lengo lako kuonesha mahusiano yana stress mbona hukuongelea mahusiano ya damu?kwa maswali hayo bado narudi paleplae kuwa una hasira kwa sababu hujawahi kubahatika ukapata mwanamke mkamake plans zikafanikiwa.

no you did not hit me hard and you will never hit me its just that I like saying the truth especially to someone who like pointing fingers towards others like he/she is perfect,you are not BOB LUSE pengine leo tukipata watu wanaokufahamu wakatueleza jinsi ulivyo na tabia mbovu kiasi wakachagua kuishi na hao wanwake 5 unaowaponda kutwa na sio wewe mmoja.
 
endelea.kufuatilia mada zangu.ktk wachangiaji hamsini akitokea mtu kama wewe yupo tofauti na wengine ni kawaida.napenda unavyosoma kila ninacho post.so far sijapata malalamiko kama yako.karibu
 
umewahi kujiuliza kwanini wanadanganya umri wao? hao wa 27 ndo wenye 32! huwa wanapunguza miaka mitano ili uingizwe kingi
Teh teh teh..lemme reserve my comment for now. Watch out though, usipende sana kuuliza umri wa mtoto wa kike. Utadanganywa tu...
 
Kweli mkuu ni kuwaacha kama walivyo! wengi ukiuliza anadai ana 27! very strategic
 
endelea.kufuatilia mada zangu.ktk wachangiaji hamsini akitokea mtu kama wewe yupo tofauti na wengine ni kawaida.napenda unavyosoma kila ninacho post.so far sijapata malalamiko kama yako.karibu
pengine wameamua kukusuport tu kwani umeambiwa yote ambayo watu wanasema hapa ni ya kweli?

tena swala la kwamba ni mi peke yangu nipo tofauti kamwe haliwezi nifanye niache kusema napoona mtu anaexceed the limit,na ukae ukijua sio kila mmoja anapenda kuuelezea kile anachohisi wenigine ni wapuuziaji anaona kitu halafu anakilet be mi nimeshindwa na kwa hiyo swala la kwamba hujapata malamiko kama yangu haitoshi kuproove kwamba kila mmoja humu anaunga mkono hoja yako.

Na napenda kukusahihisha sio malalamiko nasababu na wewe

Na mwisho kabisa mkuu Bobo LUSE we sema yote tisa ila kumi wewe kwa namna yoyote ile umeumizwa na wanawake na tena sio mara moja ni mara nyingi na ikiwa ni mara nyingi hata wewe jiangalie pia unaweza ukawa sababu ya maumivu yako mwenyewe kwa sababu ya tabia zako zisizovutia kumbuka WE ARE THE AUTHORS OF OUR OWN DESTINIES
 
Inaonyesha hata shule yako ndogo,kwani.hata ku summarize point unashindwa unajaza thread tu! hata sisomi hayo magazeti yako! so dont waste your time&resources
 
Nashukuru kwa kuwaelimisha vijeba kama BLUE G
we we we mkuu this is an offence really nani kijeba ishia hapo hapo, hapa umeenda beyond yaani ni hivi I respect you but naona unataka kuleta vijemba sio hata mi naweza kutoa maneno ya kashfa sana BOB LUSE ila naheshimu kanuni na taratibu za humu kama zilivyowekwa na pia naheshimu watu wote naomba utengue kali yako la tutaongea lugha nyingine hapa
 
inaonyesha kweli kijeba! kama umekasirishwa na jina zuri kama hilo! pole no wonder unatoka povu.
 
Back
Top Bottom