Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,391
- 1,911
Kama title inavyojieleza ni kwamba nina desktop ambayo inashindwa ku 'read' blank / empty DVDs/CDs hivyo kuweka ugumu ktk kuchoma files, cha kushangaza ni kwamba nikiweka DVD ambayo ina file yyt basi Desktop hii husoma bila tatizo. Msaada tafadhali.