Kuna Njia Na Sababu Nyingi Za kusababisha hilo swala nayo ni haya by dj danford
.sound card_hii ni card inayochomekwa kwenye cpu nyuma hizi ni kama dharura na kama driver za sauti hazipo ukiweka hii kitu mambo yote sawa yanaenda,volume muted_unaweza ukaweka mute bila kukusudia pale kwenye tarehe na saa kulia chini kuna icon moja ya spika kama imekatwa fungua toa mute ongeza sauti mambo yaendelee au nenda start,all programs,accesories,enterntainment,volume contlor,hapo nimeeleweka wadau tupo pamoja f.g,m na b.k hamisi ni mimi danford