Lelon Mush
Member
- Sep 16, 2019
- 64
- 15
Msaada desktop Hp compaq nikibonyeza batani ya power kinawaka kitaa kimoja kisha kinazima ila nikiipuriza na hot blower kwa dakika 1 au 2 nikiiwasha ina waka ila nitakapoizima tu haitawaka mpaka niipulize tena.