DESKTOP COMPUTER KWA SH. 100,000/=

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,087
Wakuu,

Kwa wanaofahamu hivi vifaa,
Nina kiasi tajwa hapo juu,
lengo niende Kariakoo kununua Desktop Computer,

Naomba kujuzwa,
Naweza kuipata iliyokamilika kwa kiasi hicho?
 
IKO MOJA HAPA FERRY. LETA 180,000/-. PIGA 0713-039875
jaman wakubw naombeni msaada wenu juzi nimeweka window kwenye laptop yangu sasa cha ajabu sauti haitoki mpaka sasa na mwanzo alikuwa inatoka na nimejarb kuweka driver zote ila inakataa sasa sijui nifanye nn
 
Back
Top Bottom