Design simple za Nyumba vyumba 2

Three bedrooms. 11x11m Fits in 15 x20 plot size
 
Three bedrooms, 13x16m
 
To be successful placing residential footings, foundations, and slabs you need to work efficiently and accurately
 
Two in one design, kuna master moja na single moja, dining, siting, kitchen, na public toilet. Ukubwa wa 12 kwa 14 inafiti katika plot ya 20x20, design nzuri kwa kupangisha. Kwa matumizi sahihi ya plot yako jenga za two in one au three in one,
 
Mimi natamani kuona mpangilip wa vyumba nje ukipaka rangi nzuri inapendeza tu
 
Ujenzi katika miji na sehemu zingine ni tofauti sana gharama za material za ujenzi, mfano ukiwa morogoro tofali 6000 kwa laki sita zile za kuchoma zinajenga kuta mpaka level ya linter kwa nyumba ya vyumba vitatu.

Duh hiyo kali
 

inategemea na nyumb yenewe, hata 900M inaweza isitoshe nyumba ya vyumba vi3, lakini mtu wa kipato cha kati ukimpa 22M anajenga na anakamilisha kila kitu.
 
Hajibu maswali ya msingi sijui kwa nini alileta maada hii humu: labda tapeli!!!!

Kazi za site tutafanya sangapi!? Ndio maana tumeacha simu upige usaidiwe hitaji lako.
 
Michoro inachapishwa kwa karatasi isiyofutika ikilowa maji miaka 50 je umewahi ona technolojia hii,
Mmmh mkuu naomba kueleweshwa hapa karatasi isiofutika??
 
Mkuu jenga tabia ya kuamini kile wanachofanya watz wenzako, mpaka ramani huamini kama mtanzania anaweza kuchora? wewe mpe specifications unazotaka uone kama hatokupa kitu roho inataka (kwenye sector hii tuna vijana wanaweza)
Haelewi kama kuna watu wanakaa miaka minne mpaka mitano kila siku kukesha studio wanafanya haya mambo...
 
Haelewi kama kuna watu wanakaa miaka minne mpaka mitano kila siku kukesha studio wanafanya haya mambo...

It is a five years degree in a class day and nights
 
Vyumba vitatu, kuna master mbili na study room na chumba kimoja kawaida. Kona ya nyumba hii ni round, new techinique , kwenye picha ni hizo sehemu zenye vitofali.
 
Vyumba vitatu, kuna master mbili na study room na chumba kimoja kawaida. Kona ya nyumba hii ni round, new techinique , kwenye picha ni hizo sehemu zenye vitofali.

Mkuu nikuombe kitu kimoja, kama haita athiri malengo na mtazamo wako kwenye hili bandiko, niombe ukiweka picha ya nyumba tuwekee na plan yake bila vipimo , itatushawishi zaidi kuona mpangilio wa vyumba, sebure nk,asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…