Siyo tu kuchepuka,hata gar likikuharibikia njian unaliacha hpo hapo mpk fund aje na km ukikuta Distance ya ulipoharibikiwa na kituon mbal bas itakua kero kubwa sn kwa wengine.Yaan huwez kuweka gar pemben kama tulivyozoea.Hapo Samak njia ya kwenda Masanah ni Tatizo La miaka sasa.Ile barabara ni jipu bivu ukitaka Kuchepuka na gari hakuna aside exit
Hiyo barabara inaelekea ni kama tuta la kuzuia maji kupita.Maji yamejaa upande wa juu, hali ikoje upande wa pili? Upande wa uelekeo wa bahari.
Kwenda huko jana ilikuwa kwa pantoni!Hapo kushoto kama unaenda tegeta, ndio road ya kwenda Goba Cape Town, Mji wa mahewa tulivu
Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!Hiyo siyo design failure wandugu bali ni: Inaccurate and incomplete design!
Hydrologists failed to accurately analyse the catchment flow which resulted to wrong prescription on the road of a drainage structure size.
Structure Engineer ana-design culvert au daraja kwa kufuata hydological data kutoka kwa hydrologist. Also careful assessment of catchment flow ingemwezesha highway engineer to provide adequate design of road vertical alignment!
Hata suject matter imempita kwa mbali!Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!
Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!
Hata suject matter imempita kwa mbali!
Wengi wamejaribu kujenga hoja kuwa siyo design failure bali tatizo Tatizo ni njia za kupitisha maji ya mvua wengine kwani watu wamejenga kwenye njia za sili za maji ambazo zinakwenda moja kwa moja baharini hivyo hata kama wakiweka Madaraja ni kazi bure kwani hayo maji hayawezi kuedelea na safari, hivyo kuwalaumu TANROADS ni kuwaonea, wkt bomoa bomoa watu walilia sana kwamba siyo ubinadamu lkn lengo lilikuwa ni hilo kwamba waliojenga kwenye njia za maji wote wabomoe ili kuepusha hilo tatizo!Barabara hii ni mpya, haina hata miaka mitatu!
Lakini kilaa inyeshapo mvua kubwa ,hii ndio hali halisi, na hivi ndo ilivyokuwa leo asubuhi.
Haihitaji kuwa injinia kusema kuwa hapa kuna design failure.
Uwazi uliowekewa kupasisha maji ya mvua ni mdogo mno.
Kazi kwenu TANROADS.
Wewe utakuwa ni NGWINI!Ni kwamba umeshindwa kuchangia kwa lugha ya taifa! Lugha yako uliofanyia mitihani unaielewa sana kuliko lugha yako unayofanyia kazi na kuzungumza kila siku!
Lini unataka tuanze kubomoa huko.mbezi beach ili tuache njia ya maji wazi!Siyo kweli unavyosema kwamba ni kosa la wahandisi au TANROADS bali ni kosa Ardhi na Manispaa kwani watu wamejenga kwenye njia za sili za maji ambazo zinakwenda moja kwa moja baharini hivyo hata kama wakiweka Madaraja ni kazi bure kwani hayo maji hayawezi kuedelea na safari, hivyo kuwalaumu TANROADS ni kuwaonea, wkt bomoa bomoa watu walilia sana kwamba siyo ubinadamu lkn lengo lilikuwa ni hilo kwamba waliojenga kwenye njia za maji wote wabomoe ili kuepusha hilo tatizo!
Kwa Mbezi beach yote ni balaa Mito yote imezibwa!
Exact kuu!Wengi wamejaribu kujenga hoja kuwa siyo design failure bali tatizo Tatizo ni njia za kupitisha maji ya mvua wengine kwani watu wamejenga kwenye njia za sili za maji ambazo zinakwenda moja kwa moja baharini hivyo hata kama wakiweka Madaraja ni kazi bure kwani hayo maji hayawezi kuedelea na safari, hivyo kuwalaumu TANROADS ni kuwaonea, wkt bomoa bomoa watu walilia sana kwamba siyo ubinadamu lkn lengo lilikuwa ni hilo kwamba waliojenga kwenye njia za maji wote wabomoe ili kuepusha hilo tatizo!
nikubaliane na mleta mada na wachangiaji wengine kuwa ni kufeli design. Design failures is failure modes of a product or process (including their associated causes and mechanisms)
Baada ya jana kukaa kwenye foleni kwa masaa kadhaa nimeurudis uzi huu kuweka maoni.Mvua ya leo ilikuwa kubwa sana
Uko sahihiHapo ni kwa ajili ya kufugia samaki wabichi nadhani
Tuwe fair, hii barabara ni msaada wa serikali ya Japan kwa Tanzania na haina uhusiano na kodi zetu za ndani.10% za mkweree zitatuangamiza; na hiyo barabara ndio inakwenda kwao Bagamoyo!! Kule Msata barabara aliyopewa Subash Patel kujenga ikoje wakati huu wa mvua?