Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Hakuna kitu nacho kichukia kama movie iliyo tafsiriwa kwa kiswahili
 
Mleta mada umefanya jambo jema kabisa kuleta uzi wa huyu mdau, apumzike kwa amani! Hakika fani hiyo aliitendea haki na alitupatia burudani iliyotukuka..
 
Lufufu wakati anaanza kazi za kutafsir nakumbuka mbagala kwa Mangaya jumbani kwa Limonga Justin wa Limonga (R.I.P), huyu Limonga ndiye aliyemu hosti enzi hizo nikiwa darasa la 5 sikumbuki vizuri. Asiee kila kazi ina hatua zake alianza kututafsria ukumbukini hadi pale Limonga alipoona dili akampa chumba ambacho alifanya studio. Bahati nzuri Lufufu alikuwa mtu wa watu akipita mtaani enzi zile na kofia yake ya Cowboy tulimpamba kwa nyimbo..Lufufu Lufufu Lufufu...nina mengi sana acha niishie hapa kwanza
 
Tunasubiri umalizie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…