Dereva wa STK 7908 anaendesha gari vibaya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,446
154,287
Niko Kilwa Road naelekea Temeke. Kuna gari la serikali Toyota Land Cruiser, dereva wake anafanya fujo barabarani.
Aliomba apite mbele ya vitz ya mdada mmoja, dada kamnyima, anamtishia kumgonga, hakika hana etrhics za udereva wa serikali.

And you can drive and surf?,
and get in the jamvi?,
and read posts?,
and start threads?,
What kind of driver are you?
How do you differ from huyo wa STK?

Anamuwahi kumtoa Bosi gesti kabla wife hajastukia home huko maana aliaga atakua kikaoni hadi saa kumi....

hawa wa STK, JW PT huwa wanajiona wako juu ya sheria, wakiamua wanaweza hata kurudi kinyumenyume kwenyehighway na tarffic hatasema kitu

And you can drive and surf?,

and get in the jamvi?,

and read posts?,

and start threads?,

What kind of driver are you?

How do you differ from huyo wa STK?

Wapi kasema anadrive? Wakati mwingine uwe makini kusoma na kuelewa. Una haraka gani ya kujibu thread za watu?

Hawa dawa yao rahisi tu, mimi na ngarangara langu akinichomekea, namwachia ngao ziumane. Usually inakua tamu sana kama ni asubuhi ndo anawahi kumchukua boss wake.
nyambaf!

Kutanua na kuchomekea ni uhuni (samahani kwa wale wanaofanya hivyo).

Kwani sisi wengine hatuna haraka ya kufika kazini? Kama una haraka kwa nini usiondoke nyumbani saa kumi na moja asubuhi?

Kutanua na kuchomekea ni uhuni (samahani kwa wale wanaofanya hivyo).

Kwani sisi wengine hatuna haraka ya kufika kazini? Kama una haraka kwa nini usiondoke nyumbani saa kumi na moja asubuhi?
mkuu, ndio unaweza kuelewa kwa nn marehemu mzuzuri alimtandika mbonde ...yule dereva wa daladala...risasi ya kichwa baada ya kuchomekewa.
Wanaudhi hawa viumbe acha kabisa!

Sifa ya dereva ni kutong'ang'ania barabara, ukiona mwenzako amekosea na wewe unaweza kurekebisha kosa rekebisha kisha ondoka zako kuepuka malumbano. ni ukweli usipingika hawa madereva wa magari ya serikali ni watu ambao wanajiona wajuvi katika uendeshjai wao kutokana na labda kuzoea misafara na kuwaendesha mabosi au kutumia madaraka vibaya.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom