Dereva wa STK 7908 anaendesha gari vibaya

Bujibuji mkuu wangu ulicho kipost kinaweza kumletea matatizo makubwa muhusika
na mbaya zaidi kutaja hadi no zake, yawezekana habari zika mfikia boss akahamishiwa madongo kuinama
Kama wewe ni mkaazi wa DSM na unadrive this how game played mabarabarani,
Some time hizi post zingine tunazopost just for fun hazifai, bora usinge taja no

Umenisikitisha mwanajamii..........nadhani hii ni njia mojawapo ya kurekebishana........angekuwa dereva wa gari binafsi maneno yako sawa....hata la umma?

Pole kwa kukusikitisha lakini nakwambia ukweli mkuu kila mtu ananamna yake ya kuishi kutokana na mazingira yake ya kazi, inawezekana kabisa hapo ulipo hata wewe unatumia net ya ofisi kuprowse JF.
Kama amechelewa kumchukua boss na anataka kuwahi vile ndivyo mimi na wewe tungefanya bara barani, bujibuji amepost just for fun bana

Mkuu heshima mbele!..........uharaka wa jambo pengine huletwa na kutopanga vema muda wa mtu husika.......hilo la kuprowse net ya ofisi sijakupata vizuri...uzoefu wangu ni kuwa madereva wa serikali huwa hawana subira hata siku moja...na wanaongoza kwa kuvunja sheria barbarani ilanza na JW sasa STK....PT...DFP......wao na haraka tu? hapana nadhani na dharau pia....mifano iko mingi

5.JPG

UJAMBAZI+2.JPG

Teh teh teeeh mkuu kwenye red umetumia umaimuma wangu wa kiinglishi kukwepa kujibu hoja ha haa
Ngoja nichunguli dikshenari.......... ok ni ku browse JF kwa net ya ofisini kwa kuiba

Teh teh teeeh mkuu kwenye red umetumia umaimuma wangu wa kiinglishi kukwepa kujibu hoja ha haa
Ngoja
nichunguli dikshenari.......... ok ni ku browse JF kwa net ya ofisini kwa kuiba

Inabidi utafute na KAMUSI sasa au tuongee kichagga?

Niko Kilwa Road naelekea Temeke. Kuna gari la serikali Toyota Land Cruiser, dereva wake anafanya fujo barabarani.
Aliomba apite mbele ya vitz ya mdada mmoja, dada kamnyima, anamtishia kumgonga, hakika hana etrhics za udereva wa serikali.

Nasikitika ujumbe haujafika wala hautafika

kodi zetu babaaa.... akigonga hilo atapewa jingine

Ila huyo mdada naye mpuuzi... kwanini asimpishe huyo dereva kuepusha shari? kuna faida gani kushindana na mjinga?

si kivilee bro. hapa ofisi ya kandoro kuna dereva alikunywa ulabu mwingi wa mke wa pinda wakidhani atalala ikulu, mishale ya saa nane akawakurupua wameshalewa na kuwambia atalala kijijini kwao hapa wilaya ya kwimba/ kama sio misungwi. dereva alilikurupua gari akasababisha landcruiser likaanguka ubavu na kuvunja site millor na kioo kimoja cha upande wa dereva.

mpaka sasa dereva yuko benchi, itamchukua mda kupewa gari tena.

Mkuu heshima mbele!..........uharaka wa jambo pengine huletwa na kutopanga vema muda wa mtu husika.......hilo la kuprowse net ya ofisi sijakupata vizuri...uzoefu wangu ni kuwa madereva wa serikali huwa hawana subira hata siku moja...na wanaongoza kwa kuvunja sheria barbarani ilanza na JW sasa STK....PT...DFP......wao na haraka tu? hapana nadhani na dharau pia....mifano iko mingi

5.JPG

UJAMBAZI+2.JPG

namba za kiraia hubandikwa kwa ajili ya kufanya ufuska, ili mademu wajue jamaa ana hela kishenzi kwa kumiriki gari jipya tena la gharama kubwa

si kivilee bro. hapa ofisi ya kandoro kuna dereva alikunywa ulabu mwingi wa mke wa pinda wakidhani atalala ikulu, mishale ya saa nane akawakurupua wameshalewa na kuwambia atalala kijijini kwao hapa wilaya ya kwimba/ kama sio misungwi. dereva alilikurupua gari akasababisha landcruiser likaanguka ubavu na kuvunja site millor na kioo kimoja cha upande wa dereva.

mpaka sasa dereva yuko benchi, itamchukua mda kupewa gari tena.

hiyo red unamaanisha nini????

And you can drive and surf?,

and get in the jamvi?,

and read posts?,

and start threads?,

What kind of driver are you?

How do you differ from huyo wa STK?

sina gari na wala siendeshi, nilipokuwa nawakilisha upumbavu wa dereva wa serikali nikuwa kwenye daladala nikirudi home

Bujibuji mkuu wangu ulicho kipost kinaweza kumletea matatizo makubwa muhusika

na mbaya zaidi kutaja hadi no zake, yawezekana habari zika mfikia boss akahamishiwa madongo kuinama

Kama wewe ni mkaazi wa DSM na unadrive this how game played mabarabarani,

Some time hizi post zingine tunazopost just for fun hazifai, bora usinge taja no

Mi naona komredi bijibuji kafanya vyema kutaja namba za gari. Hawa madereva wa serikali ni washenzi kabisa wakiwa barabarani.
Namuunga mkono buji

kodi zetu babaaa.... akigonga hilo atapewa jingine

Ila huyo mdada naye mpuuzi... kwanini asimpishe huyo dereva kuepusha shari? kuna faida gani kushindana na mjinga?
sifahamu kama angalau una a b c ya driving!!1

Madereva wa STK si wote kwani tabia zao nyingi huwa shaped na boss wanayembeba. Kama bosi ni fisadi mbinafsi na madereva huwa hivyo hivyo ila kama bosi ni human being basi hata madereva wana behave.

Back
Top Bottom