Dereva wa Rais wa awamu ya kwanza Tanzania atoa mpya na kali!

Mzee pole sana! Wema wako ulikuponza marehemu Julius Nyerere angelikua hai natumaini ungeishi maisha ya peponi, lakini hayupo sasa nakushauri embu tafuta wengine wakukushauri kuhusu huyu tuliye naye!!
 
Tumefanya tunaweza na mtakula masaburi yenu.................Chagua CCM.
 
Maskini Babu wa watu! Anaonekana anaishi kwenye Maisha magumu..mafisadi wamemtupa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…