Hivi hawa walafi wanaokula na kuvimbiwa wamemfanyia nini huyu mzee? Hawa ndio wa kuangaliwa na serikali yetu sio akina Mkapa, EL, na mawaziri wakuu wengi waliotuibia mpunga wa kutosha na kuhujumu uchumi wa nchi hii.
Mzee pole sana! Wema wako ulikuponza marehemu Julius Nyerere angelikua hai natumaini ungeishi maisha ya peponi, lakini hayupo sasa nakushauri embu tafuta wengine wakukushauri kuhusu huyu tuliye naye!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.