Kwa maneno ya huyo dereva anasema mafuta yalimwagika mpaka kuwafikia mama ntilie na baada kama ya sekunde 5 hivi moto ukaanza
Je ina maana moto ulianzia huko kwa mama ntilie kwa mujibu wa maelezo yake na sio paparazzi wetu wa humu walivyosema kuwa chanzo ni battery?
Poleni wafiwa kwa namna moja ama nyingine ila ilikuwa ni ajali mbaya
Kichwa cha habari na yaliyomo ndani ni sawa na pombe na sodani!! Kwanini waandishi wa habari mnakuwa hivi? What's wrong? Why informing such a new?
Sheria ilipoletwa mlilalamika.sana kwenye majukwaa kwamba tz hkuna uhuru ,je huu ndo uhuru wa kuleta habari zisizo na kichwa wala mguu?? Dereva huyu mnayedai wa lori mko serious kabsa? Huyu s shuhuda ambaye ni dereva wa bodaboda!!! Sasa kwann mnasema dereva wa gari lililopata ajali asimulia!
Toeni ripoti kwa kuangalia professional na code of conduct za taaluma yenu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.