Dereva wa familia afumaniwa akimtoa usichana mtoto wa bosi

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Hayawai hayawi sasa yamekuwa!!!
Kijana mmoja mtaa wa jirani amefumaniwa akitoa bikra ya binti wa bosi wake. Imetokea mchana huu ndani ya gari ambayo kijana huyo huendesha.

Mtoto alikuwa geti kali maeneo ya Masaki na kama kawaida ya bosi huwa anarudi mchana kwa luch nyumbani...kumbe binti ana mawasiliano ya muda na kijana huyo kwa jina la Olimbi kwa njia ya Whatsapp, basi wakati mzee yupo ndani anakula, binti akanyemelea na kuzama ndani ya gari ambapo uzalendo ukawashinda na kujikuta wakivunja ile amri ya nane, binti akapiga mikelele...wenye nyumba wakatoka ndani wakidhani kuna mtu anamtendea unyama..mara wanaona gari inatingishika na ndipo walipofungua mlango na kukuta wameshachelewa maana bikra ndo hivyo imeshaondoka.

Habari zaidi baadae kwenye updates, kwa sasa kijana yupo polisi pale Osterbay kwa kosa la kutoa bikra.
 
Jifunze utunzi upya, kutowa bikra siyo kosa bali kubaka ndio kosa,habari yako haina ukweli wowote, kwanza masaki bikra itoke wapi?
 
hahahahahaa....umeua mkuu!
 
Una uhakika gani kuwa huyo binti hajawahi kungonoka na mtu yeyote?
 
jasiri sana huyo dereva sasa kibarua kinaOta nyasi na jela aspoangalia.... labda awe anajua siri za boss
 
Inaonekana hata Kanisa hujui mlango upo vipi...USIZINI NI AMRI YA SITA SI YA NANE...UPO?
 
Hayawai hayawi sasa yamekuwa
Umeanza kipumbavu kama sio kikike
 
Dah! dereva alikosea sana, Raha ya bikra ya masaki itolewe Kenya airways sio kwenye gari.

*Chai hizi mnatuswetisha bure na joto hili.
 
kwahiyo jamaa kaamua kufunga mwaka kwa kujilipa ujira wake
yeye mwenyewe maaana inaonekana binti alikuwa na ugumu mbaya
sasa kapata fursa....haya ndio matatizo ya geti kali "kuna mbwa mkali".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…