Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Naam katika kuliangalia suala la Tundu Lissu ni vema tukalinganisha dereva wake na dereva wa Chacha Wangwe kijana Mallya.
Jambo moja kuu ni kuwa kutokana na maelezo yao wote baada ya matukio wote wameonekana kuwa na uelewa mkubwa sana ya watuhumiwa wa mauaji walionyemelea misafara yao. Hapa kuna ukakasi mkubwa sana.Naomba nanyi wadau mtoe michango yenu hapa bila jazba.