Dereva wa bajaji mwanamke anahitajika

Dereva wa bajaji mwanamke anahitajika

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,501
Jinsia: Mwanamke(lazima)
Age: 21-35
Sifa: Awe mchakarikaji, mshapu, ajue kuendesha vizuri kwani atakuwa anampeleka binti chuo na kumrudisha wakati anamsubiria apige misele mingine.

Asiwe na visingizio, awe available muda wote.

Naombeni mnisaidie kusambaza ujumbe huu kila mahali, nitaweka namba baadae ngoja nisajili.
 
Kwa jinsi hali ilivyo ngumu? ? Hakawii kuja dume limevaa kidada, nasahauri akipatikana mu mpekue
 
Inamaama iko chuo kiko uchocholon adi asiwe na vigezo inaitajika lesen ya udereva hapo akikamatwa je
 
Jinsia: Mwanamke(lazima)
Age: 21-35
Sifa: Awe mchakarikaji, mshapu, ajue kuendesha vizuri kwani atakuwa anampeleka binti chuo na kumrudisha wakati anamsubiria apige misele mingine.

Asiwe na visingizio, awe available muda wote.

Naombeni mnisaidie kusambaza ujumbe huu kila mahali, nitaweka namba baadae ngoja nisajili.
kwani ukiweka namba yako ya sikuzote kuna ubaya gani mpaka usajiri line mpya?
 
Back
Top Bottom