Dereva Tax & Mwanamke

Dereva Tax & Mwanamke

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,kma alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona mtu akiwa uchi au! Dereva akajibu;ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
 
Hehehe hajamtamani tu duh huyo dereva hana hisia kweli yuko kikazi zaidi
 
Inatisha!! kuvua nguo kuna utaratibu wake, sio katika hili, lazima ukimbie au kushangaa!!
 
pesa mbele maesabu baadae safi sana kaka. wewe ndio unajua umuhimu wa kazi yako.
 
Ingekuwa real bac kauli ya TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA ingeshinda!!
 
Back
Top Bottom