Ongeza na wa kutapeli na kusema uongo na kufeli kwa kila alichokifanyaNeno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Nani anapenda dharau sasa...mi mwenyewe ukiniita hivyo huna Bahati
nilichogundua ni rahisi sana kwa watu kukushusha kutoka juu kuliko unavyodhaniNeno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
We sijui unakaa Nanjilinjili, we tulia tu huko maana ya mjini ni mazito.Sory mkuu kwani huyo bashite ndo nani maana hili jina limekuwa maarufu sana [emoji134]
AjabuMwenye jina mwenyewe halitaki nani mwingine atalitaka
sasa hiyo freedom of speech kai abuse vipi hapo???Ukisikia watu wamepewa freedom of expression na wamepitiliza ndio kama hivi. We should not abuse the freedom we have.
Hii speeck ni kikolomije au?sasa hiyo freedom of speeck kai abuse vipi hapo???
Duuuu haya maish bs tKatoka kwenye gari akiwa macho nyanya akisema.........yaani mtu nina familia yangu unaniita Bashite!!!? Haiwezekani, ikabidi jamaa aanze mbele kwa kasi mbaya
Sidhani kama kuna ulichoona hapo...sasa hiyo freedom of speech kai abuse vipi hapo???
binafsi nakubali sana utendaji wa huyu jamaaNeno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Hiyo aliizungumzia sugu bungeniSijakuelewa mkuu, hasa hiyo namba tatu