Dereva noma

Dereva noma

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,373
Dereva mmoja alipata ajali na kusababsha vifo vya watu watano akakamatwa na trafic na maongezi yalienda hivi,

Traffic: Eeenh nambie ilikuaje?
Dereva:Mi nilikua speed kali gafla nikaona kundi la watu wengi kushoto na upande wa kulia kulia na mtu mmoja alafu sina breki ungekua wewe ungefanyeje traffic?

Traffic: mie ningeenda kumngonga yule mmoja ili niokoe maisha ya wengi.

Dereva: na hivyo ndio nilivyokusudia sema yule popompo akakimbilia kule kwa watu wengi akazani sijamuona kudadadeki... Nikamfuata kulekule alipokimbilia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom