Mkuu huyu ni dereva wa kampuni gani...!!?Hajawahi
huoni kirungu cha scania hicho ?mbona kama yupo ndan ya nyumba??
basi sio dereva huyoHajawahi
Subutuuuuu na mademu kila Kituo....kwa jinsi alivyotuli hapo sidhani
bado nguvu zimo huyomiaka 68
Mbona umri mdogo alafu anaonekana amezeeka sana.....!!?miaka 68
Hadi umri huu amekwepa mishale mingi sana kama nyani mzeeNiambieni kama anaweza kuendsha gari kwa zaidi ya saa moja bila kusinzia kwenye usukani