Dereva bajaji

Dereva bajaji

mapundapetro

Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
38
Reaction score
17
Habari wanajamii wezangu
Natumaini ni wazima wote
Lengo la kuleta huu uzi
Kuna dereva bajaji mzoefu
Anatafuta bajaji ya kataba

Anauzoefu,pia ni mtoaji wa hesabu
Mzuri ana longolongo nyingi kama
Wengine ambao ukifika mda wa hesabu
Uanza visingizio bingo

Yupo ukonga mombasa mawasiliano
0688802481

Yupo tayari mda wote
 
Hesabu kwa siku ni kiasi gani?

Nini kimekusibu kwenye bajaji ulokua unaiendesha awali?
 
Back
Top Bottom