Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,891
- 6,902
Pole kaka, pole saaana kwa yaliyokukuta. Endelea kutoa elimu mbadala kwa tulio wajinga bado, tuko wengi tunaohitaji msamaha na kuelimishwa hasa huku vijijini.
We mwenyekiti wa nani????????????!!!!!!!!!????????????
Gari zingine si za kupiga nazo picha.........bora uazime
Marehemu Dr. Remmy alikuwa na kigari amekiandika "BABA YAKO ANAYO?"
Tofauti yako wewe na yeye ni kuwa, Mwenzako alinunua Sweden ukweni kwenye Model ya SUZUKI iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ndani ya EUROPEAN UNION. Wewe unanunua used kutoka FUKUSHIMA na unaanza kujiona bora.
Mjengwa, pole sana kwa hili tukio. Ulifanya makosa kumuachia hivihivi. Alitakiwa walau alipe faini fulani kwa ajili ya watoto yatima.
CAMARADERIE,
Hivi unajua kuwa Warren Buffet hadi leo anaishi kwenye nyumba yake aliyonunua miaka ya 60's?
Hivi unajua gari gani anatumia Boss wa Toyota kwenda kazini? Kama ulikuwa hujui, jamaa anaenda kwa MGUU.
Mfuatilie mama mmoja Mgeruman aitwaye Izabella Bosch ambaye ni CEO na owner wa BOSCH uone maisha yake yalivyo SIMPLE.
Michael Jordan, moja ya magari yake aliyokuwa akionekana nayo Chicago ilikuwa SUZUKI.
Kuna watu duniani hawapendi kujionyesha utajiri wao. Ila masikini wakipata, akina MARIO BALOTELLI.
Ndugu yangu,
Utajiri huja kwa namna nneSera yangu ninapopata faida ni kununua kile nikipendacho kama hiyo Q7....na kusaidia wasio na bahati na kipato
- Ubahili(kama wa huyo Buffet na hao wengine)
- Bidii(kama yangu)
- Bahati
- Dhulma
CAMARADERIE:
Hiyo GX100 (Nyeusi) unayoendesha ina tofauti gani na SUZUKI Escudo?