IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,715
- 8,119
Ha ha ha......kijana tafuta pesa kwanza......
Yeah_hela kwanza ndio heshima debe.
Ha ha ha......kijana tafuta pesa kwanza......
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.

mteme kupenda siyo kigezo cha kunyanyasika....hahaaa unaambiwa unapendwa kwa maneno, ila mwenzako anafanyiwa vitendo, kwa vle ww ni mwanaume usiye na maamuz baki hivyo hivyo, janet hivi sasa nimemuona analiwa denda pale mambo ya tanga.