mapenz na pesa tena
ndio.......sasa bila kisu......utakataje nyama..........?
. . . . . .Vijana mna kazi sana!
maisha mafupi kamanda.........heshima pesa......shikamoo usumbufu tu......
Habar wadau wote hum, mim ni kijana mwenye miaka 27 nataka mwenza mwenye umri wowote wa kike ili tuweze kula raha, ila lazma tupime kwanza niko mafinga iringa, cm 0765180309
Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika mahal ananitishia kuniua/kafara coz antaka penz lang, advise me pliz pipoz?
Nimezaa na dem wa kihind mgololo yeye anataka anioe ingal nina mke tayar na mke wang hajui du nifanyaje?
Siamini macho yangu, kama kwel heshima, utu, aman na upendo kama vinaweza kuwa kutu tena isiyoweza futika moyoni mwangu. Rafiki yangu kala mzigo kwa demu wangu ambae ni shemeji yake na yeye akiwa na mke na watoto wawili, kweli huu ni utu wadau?
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.
Wadau, lengo sio kumuumbua huyu mwanzisha mada, lakini kabla hujapoteza muda wako kumshauri, hebu pitia baadhi ya topic alioanzisha hivi karibuni humu jukwaani.
Wadau, lengo sio kumuumbua huyu mwanzisha mada, lakini kabla hujapoteza muda wako kumshauri, hebu pitia baadhi ya topic alioanzisha hivi karibuni humu jukwaani.
Kwanza kapime HIV... Mambo johns corner sio mazuri sana...mapenz na pesa tena
Hahahahahaha!Wadau, lengo sio kumuumbua huyu mwanzisha mada, lakini kabla hujapoteza muda wako kumshauri, hebu pitia baadhi ya topic alioanzisha hivi karibuni humu jukwaani.