Dereva anaharibu mahusiano yangu

Dereva anaharibu mahusiano yangu

Aisee ikiwa mwenzio analipa malazi, mavazi.....wewe anakutakia nini....onyesha vitendo sio kupiga sound tu. Wewe utabaki hivyo hivyo na huyo binti atakupatia VVU soon maana hata hujui position yako kwenye haya mahusiano.
 
Anaemlipa mpigazumari ndiye huchagua nyimbo,akiri za kuona mix na za kuambiwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
....hahaaa unaambiwa unapendwa kwa maneno, ila mwenzako anafanyiwa vitendo, kwa vle ww ni mwanaume usiye na maamuz baki hivyo hivyo, janet hivi sasa nimemuona analiwa denda pale mambo ya tanga.

Teh teh teh. Utamuua mwenzio wewe!
 
Mshika mapembe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe umemjua dereva tu, Janet ana bwana mwingine ni askari awalikutana wakati askari magereza huyo akilala zamu kumlinda mfungwa aliyekuwa amelazwa hospitali anayofanya kazi Janet. Wakati huo janet naye alikuwa zamu ya usiku, upo?

Kimbia dogo, umeingia pasipo!
 
yaani anapika chakula alafu unamuona anakipeleka hahahhaha kweli mapenzi upofu sijui hata kama ukishauriwa hapa uachane nae utakubali ila jua huyo sio wako tena.
 
Yaani wewe kama ni mtoto wa mzee sigala wa mafinga unitafute nikukoe makonzi kabla sijakusemea kwa baba yako! Yeye akipika msosi akampelekea dereva mafinga na wewe si umpelekee kuku wa john's corner!
 
Unanisikia! Nasema hivi: Janet si wako ...Janet ni wa wenzako! Janet ni janga! Mwanamke unaechangia na akina 'suka' na ma 'utingo' huyo ni balaa tupu. Utatulizwa kwa kukatiwa shea yako ya m.a.k.u kumbe jamaa wamenyunyiza sumu🙂 mkaingia waliomo na wasiomo. Mzigo huo mwachie Suka aendelee kubiringishana nao wewe jiengue hapo.
 
Mwambie ole wako beib nikufume utanitambua.
 
sasa uhudumii unataka nini? wacha wenzie watunze na wamiliki ...
 
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.
hakuna penzi hapo

achana na huyo nesi.... you are still too young to be in those situations
 
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.

Tatizo Sigara, mwenzio dereva havuti.

Unajua sisi madereva tukipewa chombo hatuendeshi kitoto, nikipiga mci napiga hasa na siangalii salio. Janet keshachukia sigara zako, anakuzuga tu
 
Yaani wewe kama ni mtoto wa mzee sigala wa mafinga unitafute nikukoe makonzi kabla sijakusemea kwa baba yako! Yeye akipika msosi akampelekea dereva mafinga na wewe si umpelekee kuku wa john's corner!

Shida ni kwamba, akinunua kuku wa John's Corner na kumpelekea Janet, Janet anasonga dona anakusanya kwa pamoja na kupeleka kwa dereva, na harudi huko mpaka abanduliwe.

Kwa hiyo hapo hoja ni kumkoa tu makonzi, huo ushauri keshaufanya
 
Bee mwagito achana na mapenzi ya hvo mkuu,unataka uambiweje ili ujue hakufai?? Maana matendo yake yashajieleza
 
Back
Top Bottom