Dereva anaharibu mahusiano yangu

Dereva anaharibu mahusiano yangu

Kati ya wewe na dereva nani alikuwa wa kwanza kuwa na Janet?
 
Kwa lugha rahisi tu ni kuwa hapo hupendwi,najua inauma ila achana nae ili uishi kwa amani na furaha miaka mingi ijayo.
 
There is alot of girls so don't complicate much just find another gashi life will proceed indeed
 
Anayediriki kumpikia na kumpelekea chakula ndio aliye na mapenzi ya kweli nae....Wewe jiandae kupakaziwa mtoto
..Mapenzi ya dhati mbona yanaonyesha tuu hapo hata bila kuuliza?

Bora mwanamke akupende, asipokupenda jiandae kulea watoto si wako.
Ni mwaka na miezi kama mitatu imepita. Hivyo ushauri wowote si riziki, kama ni mtoto atakuwa jamaa analea
 
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.

kamata chakula kile wewe.
 
Tafuta Pesa dogo.. Le Mutuz alikua anachapiwaga hivohivo USA akarudi bongo kutafuta pesa. Sasa hivi anaji'selfie tu na watoto wazuri..:cool2::cool2:
 
Ama kweli ukipenda chongo huita kengeza. kila lakheri mkuu.
 
Jamani pole pole commnt zenu ni mnyalu huyo jamaa akijiuwa mi cmo !! aha ha ha ha!
 
Ukiona unasalitiwa jichome kisu ili ajue kuwa unampenda zaidi
 
"Hela huna.. nguvu huna... hata mkwara?"!!!
 
mchunguze kwanza maana magojwa mengi ogopa mtandao kama vip mmwage.
 
Mmmh pole wayego! Wewe unapenda kwa mapenzi ya kihindi mwenzio (dereva) anapenda kwa mapenzi ya kibongo bongo ( pesa mbele). keep on loving unloving one dear boy!
 
Back
Top Bottom