Dereva aingiza basi mtaroni kisa nyimbo za CCM zinamkera!

Huo ni uongo, hakuna anaeweza kukata tawi alilokalia. Kwa mantiki hiyo mtu hawezi kukadiria nikilitupa gari mtaroni mimi nitasalimika au nitaumia kidogo.

Jamaa anataka kutuletea stori kama za Ngongo na Lema.

Hivi, umeshasikia wale watu waitwao suicide bombers...
 
Kama hii habari ni ya kweli basi tumefika pabaya. Huo ni upunguani wa hali ya juu kabisa. Huko ni kujitoa mhanga na ni utamaduni wa kihuni usiostahili kushabikiwa na mtu yeyote mwenye akili timamu bila kujali itikadi yake ya chama.
 
We ni mjinga sana we mleta maada ulitaka watu wafe? Sidhan kama wewe ni mtanzania lazima tukutafte
 
DEREVA AINGIZA BUS MTARONI KISA NYIMBO ZA CCM ZINAMKERA



4.jpg
Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.
10.jpg
Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM.
Chanzo:hakingowiblog


Zambi zao weeenyewe!
 
hahahahahha, iwe ni kweli au sio kweli mimi sijui,
nilichofurahi nimecheka tu sana!!
hahahaha
 
Wai mi nilipoona ccm nkajua nakuja kutoa
rip
kumbe wamepona ...naona shehe wao alhaji nnauye anawarudishia uhai
 
Back
Top Bottom