Dereva aingiza basi mtaroni kisa nyimbo za CCM zinamkera!

attachment.php

Basi ilikouwa limebeba wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea kwenye mkutano wa hadhara likiwa limeharibika vibaya na kusababisha majeruhi kadhaa na watatu kulazwa kwenye hospitali ya Huruma, wilayani Rombo. Dereva wa basi hilo inasemekana alikuwa hataki kusikia nyimbo za CCM kwa sababu yeye ni CHADEMA.

Akawaambia atawatia mtaroni kama wataendelea kuimba, baada kuona juhudi za kuwanyamazisha zimekwama akalitia kweli basi mtaroni na kusababisha ajali mbaya.......je wadau mnaonaje ukomavu wa kisiasa wa huyu dereva?????
Huyu dereva poa sana.
Kama ameumia ngoja nitafute means za kumtibia apone. He is one of the few heroes tulionao sasa.
 
attachment.php

Basi ilikouwa limebeba wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea kwenye mkutano wa hadhara likiwa limeharibika vibaya na kusababisha majeruhi kadhaa na watatu kulazwa kwenye hospitali ya Huruma, wilayani Rombo. Dereva wa basi hilo inasemekana alikuwa hataki kusikia nyimbo za CCM kwa sababu yeye ni CHADEMA.

Akawaambia atawatia mtaroni kama wataendelea kuimba, baada kuona juhudi za kuwanyamazisha zimekwama akalitia kweli basi mtaroni na kusababisha ajali mbaya.......je wadau mnaonaje ukomavu wa kisiasa wa huyu dereva?????

Acha uongo endelea kuwadanganya Pro-Chadema wenzako.
 
Huu ni ujinga na wala sio ukomavu. Angekuwa mkomavu angekataa kuendesha gari hilo. Ni dhambi kujidhuru au kumdhuru mwenzako kwa sababu yoyote ile. Huyo sio mwana CHADEMA, na kama ni mwanachama basi avuliwe uanachama!
 
Huo ni uongo, hakuna anaeweza kukata tawi alilokalia. Kwa mantiki hiyo mtu hawezi kukadiria nikilitupa gari mtaroni mimi nitasalimika au nitaumia kidogo.

Jamaa anataka kutuletea stori kama za Ngongo na Lema.

Ha ha ha,
Kaka inawezekana kweli. Suicide mission!!
 
msema kweli mpenzi wa Mungu ile iyena iyena inauzi kweli kweli, halafu ikianza sasa kumekucha jogoo limeshawika dodoma ni noma, lkn huyo dereva nae kazidi angevumilia tu bana
Hivi iyena ni fisi vile?
 
DEREVA AINGIZA BUS MTARONI KISA NYIMBO ZA CCM ZINAMKERA

4.jpg
Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.
10.jpg
Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM.
Chanzo:hakingowiblog

NAO WAMEZIDISHA, KILA MKUTANO LAZIMA WAENDE NA AUDIENCE(HADHIRA) YA KUKODI. Wakome! Wasijepoteza maisha.
 
Acha uongo endelea kuwadanganya Pro-Chadema wenzako.

Kwani ni lazima uwe na audience ya kuhamishwa kama jukwaa! Watu si wako huko mwendako? Mnahamisha hamisha wa nini? Mnaji-fool wenyewe. Na mtaumbuliwa siku zote na dunia hii.Acheni kutumia hadhira za kukodi.
 
Tungekuwa na wazalendo kadhaa kwenye hii nchi walio kama huyu dereva hii nchi
ingekombolewa haraka kwenye mikono ya mkoloni ccm.
 
Huo ni uongo, hakuna anaeweza kukata tawi alilokalia. Kwa mantiki hiyo mtu hawezi kukadiria nikilitupa gari mtaroni mimi nitasalimika au nitaumia kidogo.

Jamaa anataka kutuletea stori kama za Ngongo na Lema.
Uko Dunia ipi wewe? hujawahi kuona alkaida wakijilipua? hujawahi kuona al shabab wakijilipua?
 
Comments zoooooote asilimia 98 zinaonesha udhaifu mkubwa sana!!!! Kumbe Pro-CHADEME hawana hoja kabisa.... Mnaichukia CCM bila sababu kiasi mnaombea wanaCCM wote wafe kwa ajali ama matetemeko ya ardhi.... Ili iweje???? Kumbe CCM itaendelea kutawala mpaka mwaka 2035 ndipo labda vyama vingine (kama vitatokea) ndo vinaweza kuja na hoja za kitaaalamu ili kupambana na CCM. Lakini kwa mtindo wa KUANDAMANA au KUTUKANA au KUBEZA ama KUPIGA KELELE TU au KUICHUKIA TU CCM; nina hakika hamtaweza kuondoa CCM!!!! Nina sababu:-
1. Kama unachuki na si hoja, basi siku ya kupiga kura utapiga ukiwa na hasira (matokeo yake kura waweza iharibu
2. CCM ikishinda ni rahisi kwa mtu mwenye chuki (na hasira) kutokuamini ameshindwa kihalali. Chuki aliyonayo dhidi ya CCM hudhani kila mtu anachuki kama yeye.
3. Hasira za Pro-CHADEMA hazitaweza kutenda haki hata kama watapewa madaraka kwa kupendelewa maana chuki itaendelea tu. Tena chuki itakayokuwapo baada ya kupewa madaraka (mfano kama walivyopewa CUF maan hawakushinda) itakuwa ni ya kung'ang'ania madaraka.
4. CHADEMA hawana hoja maana mimi najitahidi kusoma, kujifunza na kuwapenda lakini mpaka sasa sijaona hoja zao au manuaa yao zaidi ya CHUKI na kutishia nchi KUTOTAWALIKA1!!!
5. KUotawalika kwa nchi wao inawasaidia nini?????????????
 
attachment.php

Basi ilikouwa limebeba wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea kwenye mkutano wa hadhara likiwa limeharibika vibaya na kusababisha majeruhi kadhaa na watatu kulazwa kwenye hospitali ya Huruma, wilayani Rombo. Dereva wa basi hilo inasemekana alikuwa hataki kusikia nyimbo za CCM kwa sababu yeye ni CHADEMA.

Akawaambia atawatia mtaroni kama wataendelea kuimba, baada kuona juhudi za kuwanyamazisha zimekwama akalitia kweli basi mtaroni na kusababisha ajali mbaya.......je wadau mnaonaje ukomavu wa kisiasa wa huyu dereva?????

It does'nt matter how cheap it is, the reality is Im not going to buy this.
Wakati anakodiwa hakujua anakodiwa kwa shughuli gani? hakujua nabeba watu wa aina gani? Acheni kusababisha wenye akili za kishabiki washabikie visa visivyo exist, ni kuupoteza muda mamburula wetu.

Try again....
 
Huo ni uongo, hakuna anaeweza kukata tawi alilokalia. Kwa mantiki hiyo mtu hawezi kukadiria nikilitupa gari mtaroni mimi nitasalimika au nitaumia kidogo.

Jamaa anataka kutuletea stori kama za Ngongo na Lema.

Huyu ndugu hata mimi simuelewi kabisaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!

Je Kwani huyio dereva alipokubali kukodishwa, hakujua kama wale ni wanachama wa CCM na wapo katika shughuli za chama!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
DEREVA AINGIZA BUS MTARONI KISA NYIMBO ZA CCM ZINAMKERA

4.jpg
Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.
10.jpg
Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM.
Chanzo:hakingowiblog

kumbe kweli? Pamoja na ccm kukera, dereva nae alizidisha solti.
 
Back
Top Bottom