Dereva aingiza basi mtaroni kisa nyimbo za CCM zinamkera!

This is just propaganda za hawa magamba!

Kwa nini unafikiri ni "Propaganda za magamba"?

Kwa nini isiwe ni propaganda za kichaa mmoja wa "magwanda" anayetaka kutuonyesha kwamba kuna watu hawaipendi CCM kiasi cha kuingiza gari kwenye mtaro?

Kwa nini mtu afanye propaganda za kuonyesha chama chake hakipendwi?
 
labda gari labda liwe lake.

Kama nila mwajiri wake afu asikie kuwa kaliingiza mtaroni makusudi, basi hata bima sidhani kama watamlipa!
Kama chuki hiyo ya kisiasa itampelekea dereva kulipa hasara hizo kisa chama anachotokea, basi hizo nio zaidi ya chuki.
 
Kwa nini unafikiri ni "Propaganda za magamba"?

Kwa nini isiwe ni propaganda za kichaa mmoja wa "magwanda" anayetaka kutuonyesha kwamba kuna watu hawaipendi CCM kiasi cha kuingiza gari kwenye mtaro?

Kwa nini mtu afanye propaganda za kuonyesha chama chake hakipendwi?

Huyu jamaa anajaribu kupaint the whole of North Tanzania yote ni Chadema which is not true
 
Inawezekana. CCM wanaudhi kweli kweli kwa mambo yao ya kijinga. Inawezekana jamaa amefikiria jinsi mambo yanavyoenda nchini na bado kuna watu wanaimba nyimbo ya kusifu ujinga huu, uzalendo ukamshinda.
 
Kwa jinsi tunavyoenda sasa hivi hata ukisinzia kwenye usukani, kupindua gari na kuua watu, ukitaka support kutoka kwa baadhi ya watu wasio akili bongo sema tu wewe ni wa chama fulani (usijali CCM au CHADEMA) na ulikerwa na nyimbo za chama kingine.

Hii habari suspect. Lakini kibaya zaidi ya ukweli kwamba hii habari inaweza kuwa uongo tu na propaganda mbaya, ni jinsi watu wengine wanavyoimeza jumla jumla na kuishabikia kama vile ni jambo la heri.

Bado kidogo tu na sie tutapata suicide bombers wetu kwa siasa fyongo hizi.
 
Huo ni uongo, hakuna anaeweza kukata tawi alilokalia. Kwa mantiki hiyo mtu hawezi kukadiria nikilitupa gari mtaroni mimi nitasalimika au nitaumia kidogo.

Jamaa anataka kutuletea stori kama za Ngongo na Lema.
Mbona kunawanaojitoa muhanga kujilipua ili wafe na watu? Je! Huko si kukata tawi alilolikalia? Au unasemaje? Kama inawezekana kwa hawa, basi inawezekana hata kwa huyo dereva.
 
safi sana kama ni kweli .maana hata mie huwa wana nikera sana na manyimbo yao ya kinafiki
 
Kwa jinsi tunavyoenda sasa hivi hata ukisinzia kwenye usukani, kupindua gari na kuua watu, ukitaka support kutoka kwa baadhi ya watu wasio akili bongo sema tu wewe ni wa chama fulani (usijali CCM au CHADEMA) na ulikerwa na nyimbo za chama kingine.

Hii habari suspect. Lakini kibaya zaidi ya ukweli kwamba hii habari inaweza kuwa uongo tu na propaganda mbaya, ni jinsi watu wengine wanavyoimeza jumla jumla na kuishabikia kama vile ni jambo la heri.

Bado kidogo tu na sie tutapata suicide bombers wetu kwa siasa fyongo hizi.

hivi huwezi kuwA kazi yako ni udereva......halafu mwanaccm....kisha ukamuendesha mbunge wa cdm???
 
hivi huwezi kuwA kazi yako ni udereva......halafu mwanaccm....kisha ukamuendesha mbunge wa cdm???

Siwezi kushangaa sharti moja la kazi likiwa uanachama wa CCM/ CHADEMA. Madereva ni watu nyeti sana kwani wanasikia mengi, halafu nchi yetu haina sheria za maana za kukataza discrimination katika employment.

Unaweza kukuta muhindi kaweka tangazo kabisa kwamba anahitaji mfanyakazi, wa kazi ya kawaida tu, sharti moja la kazi mtu awe anaweza kuongea Gujarati, nahaoni aibu wala kuogopa kuambiwa mbaguzi. Itakuwa hili juggernault la CCM/ CHADEMA?
 
Huo ni uongo, hakuna anaeweza kukata tawi alilokalia. Kwa mantiki hiyo mtu hawezi kukadiria nikilitupa gari mtaroni mimi nitasalimika au nitaumia kidogo.

Jamaa anataka kutuletea stori kama za Ngongo na Lema.

is your comment valid for suicide bombers!!? if not then do not say "hakuna anaeweza"...
 
attachment.php

Basi ilikouwa limebeba wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea kwenye mkutano wa hadhara likiwa limeharibika vibaya na kusababisha majeruhi kadhaa na watatu kulazwa kwenye hospitali ya Huruma, wilayani Rombo. Dereva wa basi hilo inasemekana alikuwa hataki kusikia nyimbo za CCM kwa sababu yeye ni CHADEMA.

Akawaambia atawatia mtaroni kama wataendelea kuimba, baada kuona juhudi za kuwanyamazisha zimekwama akalitia kweli basi mtaroni na kusababisha ajali mbaya.......je wadau mnaonaje ukomavu wa kisiasa wa huyu dereva?????

Acha kufanya watu watoto.
 
Back
Top Bottom