Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Duh huna uwoga mkuu hongera.Mboma mambo ya kawaida,Usiku wa wsaa tisa nakaribia Nakaribiaa mlima Saranda...mwanzo nilifikitmri ni kiroba kimedondoka kutoka kwenye gari.
Kusogea zaidi nakaona sio kiroba kumbe ni mtu yuko ndani ya Sanda halafu anafurukuta
Mara akakaa ...wakati huo mimi nikajua ni mchezo ili nishangae wezi wadandie .
Mimi huwa muda wote natembea na Silaha nikashuka nikaenda nyuma ya tela sikuona mtu nyuma yagari nikarudi mbele sikumkuta yule kiumbe nikamuomba mungu nitatia gia Nikapanda Saranda mpaka Singida.
Visa vipo tena vingi wewe tembea drive usiku.
Una huruma sana ungempitia tu na tairi kumaliza biasharaMboma mambo ya kawaida,Usiku wa wsaa tisa nakaribia Nakaribiaa mlima Saranda...mwanzo nilifikitmri ni kiroba kimedondoka kutoka kwenye gari.
Kusogea zaidi nakaona sio kiroba kumbe ni mtu yuko ndani ya Sanda halafu anafurukuta
Mara akakaa ...wakati huo mimi nikajua ni mchezo ili nishangae wezi wadandie .
Mimi huwa muda wote natembea na Silaha nikashuka nikaenda nyuma ya tela sikuona mtu nyuma yagari nikarudi mbele sikumkuta yule kiumbe nikamuomba mungu nitatia gia Nikapanda Saranda mpaka Singida.
Visa vipo tena vingi wewe tembea drive usiku.
Hujanielewa niliporudi mbele yule jamaaa ndani ya sanda ailikuwa ameshatoweka na sanda yake,nikabaki na mawazo sana.
Ukikutana na maiti au mtu wa ajabu usiku barabarani, usimkwepe, mgonge tu ndio usalama wako. Hata hivyo, kuepusha majanga, sali kwa jina la Yesu kabla hujaanza safari
Mboma mambo ya kawaida,Usiku wa wsaa tisa nakaribia Nakaribiaa mlima Saranda...mwanzo nilifikitmri ni kiroba kimedondoka kutoka kwenye gari.
Kusogea zaidi nakaona sio kiroba kumbe ni mtu yuko ndani ya Sanda halafu anafurukuta
Mara akakaa ...wakati huo mimi nikajua ni mchezo ili nishangae wezi wadandie .
Mimi huwa muda wote natembea na Silaha nikashuka nikaenda nyuma ya tela sikuona mtu nyuma yagari nikarudi mbele sikumkuta yule kiumbe nikamuomba mungu nitatia gia Nikapanda Saranda mpaka Singida.
Visa vipo tena vingi wewe tembea drive usiku.
Vizee vya tanga hivyo nuksi kwlkwlHuyo dereva atakuwa ni mshirikina sana..yaan ni bonge la mchawi..huwez kuyaona hayo mauza uza kama na we sio mtu wa mauza uza...msalimie huko aliko
Ninavyokwambia ndio hivyo,pili mimi natembea na chuma kwa kuongezea tu sanda imufungwa kwa nje .ni mimi nimempiga full light na kama mita thathini.Yaani mtu anafurukuta yupo kwenye sanda...akakaa.
Wewe ukasimamisha gari ukashuka ukaenda nyuma ya gari....okay!
Nmesikitika sanaNi imani tu mimi kipindi cha miaka 90 ilikua ukitoka Manyoni kwenda Singida lazima upitie Itigi na barabara ilikuwa ni mbovu kwelikweli na haswa kwa gari la mizigo.
Nikia natembea polepole uziku wa saa Nne kama na nusu hakuna vijiji wala nyumba sehemu ile nikamuona mtoto wa kike kachakaa vumbi utasema hajaoga mwezi mzima nilikuwa nimepakia abiria tukaanza kuulizana huyu mtoto ametoka wapi?!
Mimi lile eneo nalijua nilishaona Simba nikasimamisha Gari nikamsogelea yule mtoto nikawa najari kumuuliza ...nyumbani kwenu ni wapi akawa ananiangalia tu.kila nikimsogelea na yeye anarudi nyuma..nikarudi kwenye gari nikaendelea na Safari wale abiria walikuwa wawili wakaanza kusema hao ni watoto waliogeuzwa kichawi
Kwa hiyo familia zao zinajua kuwa alishakufa...daaah!!!....nikasikitika sana kufika Itigi wale abiria na tandiboi wangu wakaanza kujisikia vibaya mara homa mara wanasikia harufu mbaya..lakini mimi sisikii chochote wakapendekeza tulale mpaka kesho yake mimi nikawa nasema hawa wanaogopa tu tukaamua kulala.
Mishale ya saa 8 hivi tuligonga mtu pande za mkenge mkuranga tukasimama na kukagua gari ila hakukua na damu wala mbonyeo wowote kwenye body na hata asubuhi tukiwa tunarudi tulisimama na kuliza wenyeji wa pale kama kuna msiba au ajili iliyoua usiku wa jana walidai hakuna
Mwaka jana napo msata to bagamoyo road ilitupasa kusimamisha gari kabsa kupisha msafara wa watu ukivuka barabara walikua wengi aysee