Depo raha sana!!

Uwanja wa damu pale nini. Ilifika mida ya mzabuni ndo utamjua ngurutu na mdudu gani. OP Kikwete KJ 835
mkuu ulikuwa danger coy nini? mimi bravo coy unaikumbuka siku ya intro ule usiku?
 
Watu wanadevela aiseee.

Utakuta lingine limechoka linaacha silaha kwenye ngome ya muda.....

Sipati picha ukipoteza mdeki tu shughuli ndo itakuwa magazine
 
Hahahh.. ..hapo badala ya kumind unaeza jikuta unacheka tu.

Nakumbuka kuna kipindi cha 6 wix afande anaamua kuwapa tano kidgo anasema weka chenja..linatoka boya linaenda kuimba SHUMBWELA

nadhani unajua kinacho fata hapo
 
ngoja nianze kujifunza ugaidi sasa, huyu mrembo alifuata nn huko???????????????????????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…