IPYANA MWASAMBUNGU
Member
- Mar 6, 2014
- 25
- 6
Haya jamani! Sisi tunasoma tu mnavyo viandika hatujui kitu.
Dah mwanangu hussler kitambo.alright, kwa mfano, in our country, mtu aliyesomea Port Operations, atawekwa kitengo gani pale Immigration?
Dah mwanangu hussler kitambo.
alright, kwa mfano, in our country, mtu aliyesomea Port Operations, atawekwa kitengo gani pale Immigration?
One day jamaa atatoboa nafananisha na hussles zangu nikaja kutoboa sehemu mbili kwa mpigo nikawa nachagua mishahara upi mkubwa ko Muhimu asikate tamaa.Long time kitambo