Depo la Uhamiaji

Depo la Uhamiaji

alright, kwa mfano, in our country, mtu aliyesomea Port Operations, atawekwa kitengo gani pale Immigration?

kwa sababu kozi ya Port Operation ina relate kabisa na masuala ya port and marine kuna posibility kubwa sana ya kum place uyo mtu kufanya kazi kitengo cha marine immigration yaani uhamiaji wanao fanya shughuli zao ndani ya mipaka iliyopo ndani ya maji..

Kwa mfano mipaka ya nchi na nchi inayotenganisha nchi moja na nyingine kupitia ziwa,bahari n.k

wapo maafisa uhamiaji wa namna hii wengi sana kule nyasa,na mpakani mwa tz na ug kupitia kagera.

Pia wapo mtwara wengi tuu bahari ya hindi road to mozambique n.k
 
kwa yeyote mwenye taarifa za depo la uhamiaji kwa wale wa mwaka jana lilianza mwezi upi na ilikuwa ni miezi mingapi?
 
Lilianza mwezi wa 12, kwa miaka 2 kule kiombo kisilili.
 
Excel, unanifanyaga nicheke sana aisee haya bhana.

hahaaa!! kwanini mkuu? unajua jamaa kaongea kitu impossible!

depo miaka 2? si diploma ya ualimu hiyo? loh!
 
bwana wee....yetu macho tu, kuna watu wanapumba nawe ndo unaongezeaga makusudi kabisa kijana wang Excel. U made ma day broo
 
Mbona mna haraka wadau vuteni subira majina yakitoka tutajulishana kwa muda huu kila mtu aombe dua zake jina lake liwe shortlisted
 
good advise mkuu..

huu ni wakati wa maombi kabisa!

majuzi hivi nilipita kule wizarani aisee, niliangalia sana ndani kwa mahisia meeengi nikijua hawa ndio wenye roho za watu..

nilikuwa nimejichokea zangu natokea viwanja vya gymkhana... aisee ni wakati wa kuomba tu MWENYEZI MUNGU atusaidie tupate....
 
kwa sababu kozi ya Port Operation ina relate kabisa na masuala ya port and marine kuna posibility kubwa sana ya kum place uyo mtu kufanya kazi kitengo cha marine immigration yaani uhamiaji wanao fanya shughuli zao ndani ya mipaka iliyopo ndani ya maji..

Kwa mfano mipaka ya nchi na nchi inayotenganisha nchi moja na nyingine kupitia ziwa,bahari n.k

wapo maafisa uhamiaji wa namna hii wengi sana kule nyasa,na mpakani mwa tz na ug kupitia kagera.

Pia wapo mtwara wengi tuu bahari ya hindi road to mozambique n.k

asante kwa maelezo mkuu.
 
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.

Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo

uhamiaji wameanzisha chuo chao cha mafunzo husika tofauti na yale ya pale moshi uwanja wa damu?
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wadau kweli kwa tusiokuwa na pesa za kuhonga tutasubiri sana Ajira, Kuna mdau amenitonya kuwa nafasi za uhamiaji zinauzwa na watu wanatoa kati ya laki tatu, nne na tano. Na wanasema mkono mtupu haulambwi. swali je kwa tusiokuwa na watu tusiowajua tutapata kazi kweli?
 
ya kweli hayo kijana?

umezipata wapi hizo habari?
 
Back
Top Bottom