pole kwa wewe ambae hujuiwadanganye wasiojua
Wadanganye wasiojua
Ni kweli kabisaHawa jamaa huwa wanatrain na magereza huko kiwira mbeya....
Mkienda depo ccp inakuwa miezi tisa lakini kwengine inakuwa miezi 6Kwani ilikuwa miez mingapi kabla
Kwa interview sifaham kwa kwelina kuitwa kwenye interview itakuwa lini.
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.
Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.
Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo
pole kwa wewe ambae hujui
Mkienda depo ccp inakuwa miezi tisa lakini kwengine inakuwa miezi 6
bora ccp kule kiwira noma ila kuanzia miaka kama minne iliyopita uhamiaji depo lao ni CCP
wakuu, kwani Konstebo wa Uhamiaji ni nani hasa? na kazi zake ni zipi?