MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
wadau kama kuna polic atupe picha ya chuon kuna nini huko tutakutana napo, ni mafunzo makali, au ndio hivyo mdembwedo.
wadau kama kuna polic atupe picha ya chuon kuna nini huko tutakutana napo, ni mafunzo makali, au ndio hivyo mdembwedo.
1. Usiwe na mazoea na mademu wakali,
utaishi kwa taaaabuuuu mno hapo mahala,
2. jifunze kupiga pass kwa ulanga, suruali ukiisimamisha isimame yennyewe bila kushikiliwa.
hayo ni baadhi ya ninayojua polisi mimi!

Mimi sio askari ila nipo jirani na CCP mkuu hapo jiandae kupiga tarumbeta kwa sana kuamka sakumi ni kawaida na kushinda juani mkipiga tarumbeta na kuimba
ukikutwa na kosa lolote ni kwenu...simu acha nyumbani.
by raia mwema