egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 808
- 389
Kijana la msingi wew fungua moyo, pumzi utaipata huko. Ndio maana yakaitwa mafunzo hawajasema wanatak watu ambao ni perfect, mbona mabonge na wanawake walimaliza kozi JKT but wacheza mpira walikimbia chaka, FUNGUA MOYO, FUATA MAELEKEZO, HESHIMU KILA MTU, USIANGALIE ELIMU YAKO.