Madem...hasa kuruta wenzako usijiushishe....maana km kuna afande nae kampenda utakokona mpk mwisho, mazoezi sio magumu, mchakamchaka sala ya asubuhi saa10 bigula hupigwa lenye tone ""Hukuja kulala ! hukuja kulala:"", kama huna ujuzi unafikiri unaweza tumika basi ni shushi mbaya..utakwepa fatiki zisizo na maana na kutesana...ujuzi kama "mwanamichezo soka, handball, & volleyball etc., ufundi km unao umeme, magari....unaweza pata kitengo ukiwa depo....lakini pia kupunguza stress kwa masuala mateso hapo na mawazo ficha makucha yako kwa kipindi chote kama kujiunga na vikundi vya dini ( kwa dhehebu lako) kuna kusali, kuimba, hapo inasaidia kupata marafiki hii mara nying watu wanafanya hiv wapite hapoo duh wakisha Passout wako kazini utawakimbia pombe madem zinaanza.... but kumbuka " Kumaliza ukuruta kweli ni kaaazi kubwa hata ndege wa angani watakushigilia" duh huu wimbo uimbwa sana kule......!!!! some Hints but ni uzoefu wangu wa depo ya zamani sana sana......hapo kamishna harun Mahundi....sijui sasa hivi lakin zingatia hayo dogo..sisi tulitupa gwanda chini kitambo sana...