Dependence has been institutionalised in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dependence has been institutionalised in Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtoboasiri, Jul 28, 2011.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wajameni,

  Kuna siku niliipongeza ccm hapa ukumbini kwa kuifanya Tanzania nchi ya omba omba. Jana BBC walirusha hewani documentary ya mzungu mmoja anaeishi karibu na Kilimanjaro National Park na anasema kuomba Tanzania kumerasimishwa.

  Narudia tena pongezi zangu za dhati kwa wana magamba kwa kutufanya tuonekane omba omba WA kimataifa.
   
Loading...