Deogratius Kithama: Miaka 7 ya Nirvana basi!

anahamia wapi?
labda awe kama fetty
akihamia kwingine hatapendeza hata kidogo kama alivofanya beny kinyaia
 
Nimesikitishwa sana kwa kuondoka kwa Deo ktk kipindi cha Nivarna...nasikitika kusema hakuna atakayeweza kama Deo kuendesha kipindi kile
Acha tu nilikuwa nampenda hatari, japo ilikuwa kikifika kipindi chake, mimi na Mr. Inabidigi tugawane tv mmoja sitting room mwingine chumbani, sijui kwa nini wanasemaga ni nanihii... sasaaaa!? Ni kwamba ameacha kabisa kazi itv au vipi jamani? na Lotus sijui ndio bado yupo martenity au nae alishasepa? Sad news for fashoooooooooooooooon industry
 
jamani alikirudisha kipindi kwenye track nzuri baada ya Abby kusepa. na yeye aliposimama mwenyewe
tutamiss mambo ya Fashioooon kutoka kwake.

ila nahisi kapata bonge la deal...
 
Back
Top Bottom