Deo Kisandu yuko analia. Kachoka kuandika malalamiko yake kaamua kufanya mgomo baridi. Full kulia hadi wamsikilizeAiee Mkuu nimekukumbuka tuu natafuta namna ya kuwasiliana na wewe kuna issue flani unishauri kuhusu masuala namna ya kufanya unapodhulumiwa na Rafiki yako kabisa na upanapoahidiwa cheo halafu usipewe...PAMOJA NA MASUALA MENGINE YA KIJAMII Kwa uzoefu wako wa huko ulikopita
uje Mkuu
Bora aje Aisee siku kama ya leo ni muhimu sana kwake kuja jamvini....kumbe na wewe huwa unamkumbuka Mkuu...jamaa ni Nomaa aisee acha tuu hawezi kukuacha hivi hivi...Deo Kisandu yuko analia. Kachoka kuandika malalamiko yake kaamua kufanya mgomo baridi. Full kulia hadi wamsikilize
Jamaa yetu kisandu anatabia ya kupotea. Akiibuka kila mtu atatambua Deo kisandu anasema nini. Hata hivyo nampenda, ni msemakweli na husimamia anachikiaminiBora aje Aisee siku kama ya leo ni muhimu sana kwake kuja jamvini....kumbe na wewe huwa unamkumbuka Mkuu...jamaa ni Nomaa aisee acha tuu hawezi kukuacha hivi hivi...
HADI NIMECHEKA Mkuu eti tukio lisolo la kawaida....HUENDA Kadhulumiwa kitu mkuuNahisi anapambana na TUKIO! lisilo la kawaida.
Asije akawa naye alizama bahati mbaya bahariniAiee Mkuu nimekukumbuka tuu natafuta namna ya kuwasiliana na wewe kuna issue flani unishauri kuhusu masuala namna ya kufanya unapodhulumiwa na Rafiki yako kabisa na upanapoahidiwa cheo halafu usipewe...PAMOJA NA MASUALA MENGINE YA KIJAMII Kwa uzoefu wako wa huko ulikopita
uje Mkuu
Ilikuwa kitambulisho cha NIDA.Si mara ya mwisho alikuwa ameweka picha za vyeti vyake sijui vya ubatizo, sijui vya kodi, sijui vya zake vilee nimesahau ila nakumbuka alikuwa ame attach ma nakala ya vyeti vyake Fulani hivi.
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! hahahahahahahaahahaahahIlikuwa kitambulisho cha NIDA.
Ngoja salio lisome tarehe 22 utamuona.ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! hahahahahahahaahahaahah
hahahahahahahahahaahahNgoja salio lisome tarehe 22 utamuona.
Notedhahahahahahahahahaahah