Deo Mwanyika na pesa za laana

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaa! Mipasho Mipasho.
 
Safi sana Chifu....

Hata Kiingereza chenyewe hajui..Halafu anajiita Mwanaharakati...My foot..

Kushindana na mjinga ni kazi nzito sana,nyie mliosoma shule za bongo na walimu wenu ni walifeli,mtakijua wapi kiingereza nyie? maana mnafundishwa kiingereza fake,so mkiona English iliyotofauti na mautumbo yenu,mnadhani ni feki,I better maintain silence than putting up with fools like you!
 
Dont argue with a fool,why?he will drag you into his levels of fullshness and at the end defeat you because he has experience!
 
Kiengereza cha mwanaharakati kimenipa utata juu ya mada aliyoleta..anaonekana ni MTU asiejua anachokitetea
 
Hivi kwa maneno yako haya na niliyoandika mimi nani mjinga????
 
Rudia uchunguzi wako hiyo Byrnercut ni contractor wa barrick wanafanya development ktk mgodi wa bulyanhulu
 
ndio maana mimi naamini makaburu weusi ni wabaya zaidi kuliko wazungu
Najua ripoti ya Kamati ya Makinika haijamgusa Deo Mwanyika. Lakini kuna haja ya kujua kiwango cha uzalendo wake, majukumu yake na namna alivyofadhiliwa katika kuficha ukweli.
 
TRB ni kitu gani?
 
Deo mwanyika ni mwajiriwa sio anatetea maslahi ya bosi wake. Angekuwa na uzalendo kiasi maslahi ya wafanyakazi wote wa barrick yangekuwa bora lakini kwa taratibu za kibepari anavyozidi kuwanyonya wazawa ndio naye ananufaika na bonus na mishahara plus other previlleges.

Mke wake nadhani yuko voda huwa anabadilisha magari ya kifahari sana. Fahari ya kusoma vizuri ndio hiyo. Somesheni watoto wakibahatisha nafasi watakuwa matajiri
 
Najua ripoti ya Kamati ya Makinika haijamgusa Deo Mwanyika. Lakini kuna haja ya kujua kiwango cha uzalendo wake, majukumu yake na namna alivyofadhiliwa katika kuficha ukweli.
Leo umekua vindicated. Deo hana uzalendo wowote.
 
Post yako mkuu Truth guy imekaa kidaku lakini kwa kigezo cha tarehe uliyoiandika, zinaonekana elements nyingi za ukweli na kilichokusukuma kuileta inaonyesha ni uzalendo wako! Keep going.
 
Wamekutuma wafanyakazi wa Barrick haaa! maana si kwa povu hilo eti mwanaharakati
 
Tuletee evidence mkuu. Vigumu kuamini kirahis rahis bila ushahid. Coz kwa utafiti wangu binafsi nimegundua humu jf kuna wengi sana huwa wanaongea vitu visivyo na ukweli, story za kubuni buni.
 
leo deo yupo mahabusu mwaka unaisha,hela zote zile si angekimbilia kujificha south africa au marekani
 
leo deo yupo mahabusu mwaka unaisha,hela zote zile si angekimbilia kujificha south africa au marekani
Kawekwa mahabusu kwa fitna tu za Jiwe. Nchi hii haifuati utawala wa sheria, mtuhumiwa anakamatwa, anapelekwa rumande ndiyo uchunguzi unaanza na kutafuta makosa.

Ridiculous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…