Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Mamaaaa aminaaaaaaaaa .......
We kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir
mbona mnamshambulia mleta mada ......ila kama ni kweli huyo mwanyika ache adhulumu tu maana hata akifa ataacha kila kitu duniani.....
Mwanaharakati uchunguzi wako unaonekana umeufanya kwa kuchukua misimamo, maoni na hisia za miners zaidi. Byrnecut wamepewa mkataba wa kudevolop mgodi na wafanyakazi wengi waliowachukua mwanzo walikuwa ni waajiriwa wa barrick na waliwavuta kwa sababu malipo yao yalikuwa mara mbili walichokuwa wanalipwa na barick. Kwa hiyo kitendo cha General Manager kuruhusu uhamisho kwa walio tayari kuhamia byrnecut kikajenga hisia kwamba byrnecut wamenunua mgodi kwa njia ya mzunguko lakini ukweli ni kwamba hawa waustralia ni contractors tu. Si kwamba namtetea Deo ila kiukweli Deo kuna masilahi ya waajiriwa lukuki wa barick hasa wazawa ana nafasi kubwa kwa cheo chake kuyaweka level na ninaweza kusema ananufaika na chochote ndo mana hajali. Kuhusu ridandasi ni kweli hii hicho kitu kimezungumzwa sana ndani ya hii miezi 2 na baadhi ya vigogo katika vitengo kadhaa wameshaliwa.
Kuhusu mishahara nayo ni rumours ya kitambo sana ambayo miners hurithishana, inasemekana barick waliponunua mgodi wa bulyanhulu toka kmcl miaka ya 2002 walikuwa wanalipa mishahara kwa dola na ikifika bongo wanaconvert into Tzs so kipindi hicho scale yao dola $1/= ilisimama kama Tzs. 1000/= kwa tetesi zilipo kwa miner ni currency converter scale kwa toronto makao makuu hubadilika kulingana na kupanda au kushuka kwa dola over shillingi mfano kwa sasa $1=tsh1700, toronto mishahara hutuma kwa thamani iliyopo lakinh ikifika makaburu wa south Afrka kwa kushirikiana na wabongo huikata na kulipa kwa scale ya 2002 ya 1$=tzs1000/= manake wamechakachua mia saba katika dola 1 ni rumors zipo kitambo kwa miners so mwanaharakati nakushauri uchunguzi ujikite kindani zaidi tupate ukweli usiishie kuchukua hisia za miners na kuconclude moja kwa moja.
Tatizo ni serikali yenu,nilikuwa Miner pia but Ma miners hawapigagi hata kura eti wako busy,na bado mtakoma
Mwanaharakati nakushauri uchunguzi wako uchimbe ndani zaidi usibase kwenye dondoo za miners zaidi, members wamecritisize sababu umehitimisha kwa kusema byrnecut kanunua barrick unajua african barrick wanamiliki buzwagi, bulyanhulu na north mara na Deo ndo rais na byrnecut kwa sasa wapo bulyanhulu pekee so ulposema african barrick imeuzwa kwa byrnecut kuna members wengine humu ni wafanyakazi wa north mara na buzwagi hawajui kabisa insu za buly kwa habari hii kwamba barick imeuzwa lazima wakushangae.