Truth guy.
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 396
- 196
Wewe mchovu wa mgodini kwani huko kwenye migodi yenu hamna chama cha wafanyakazi? Kama hao viongozi wenu wa chama cha wafanyakazi wameshindwa kuwatetea huwezi kumlaumu Deo Mwanyika yeye ni part of the menejimenti yenye taratibu zake za kufanya kazi. Jitambueni ili mpatae haki zenu kama mnastahili.
We kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir
umetoka nje ya mada, vinginevyo lete uhusiano uliopo kati ya hoja yako na uzi uliopo...Ubunge wa Njombe kwa Anna makinda unawasumbua mmeanza kuweweseka na Deo mwanyika!!
kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon,hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay,ila sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.
We kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir
Kaka umemshughulikia sidhani kama kakuelewa,maana inabidi awe na kamusi pembeni,vinginevyo.......
Safi sana Chifu....Kafanye harakati chumbani na mkeo tutolee ujinga wako hapa
Andika kiswahili wewe mburula wa secondary za kata pengine ndio utaeleweka ,lugha ya watu huiwezi unalazimisha tu na kujitia aibu!! Ungeandika kiswahili pengine ningekujibu ujinga wako hata kama unajiita mwanaharakati!! Ndio maana wanaharakati wa sampuli yako hawafanikiwi katika kuwatetea wananchi kwasababu upeo wao ni finyu wanaishia kupiga kelele na kutokwa mapovu bila mafanikio!! Akili yako ulivyoionesha kwenye thread yako, menejimenti ya Barrick hata kwenye geti lao hawawezi kukuruhusu kuingia kwani utawapotezea muda tu.
Ni rais wa Barrick Africa,mtanzania mwenzetu,amenunuliwa na kampuni hii ya kitapeli duniani,ndiye hawa matapeli Barrick wanamtumia kuwatesa watanzania na kudhulumu haki zao.
Mshahara wa Mwanyika kwa mwezi ni TSh 33,000,000 na huo ni nje ya marupurupu, kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon.
Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.
Real, you are good for nothing fool, mwenzio akionewa wewe ndo furaha yako? manina zako kabisa!Wewe mchovu wa mgodini kwani huko kwenye migodi yenu hamna chama cha wafanyakazi? Kama hao viongozi wenu wa chama cha wafanyakazi wameshindwa kuwatetea huwezi kumlaumu Deo Mwanyika yeye ni part of the menejimenti yenye taratibu zake za kufanya kazi. Jitambueni ili mpatae haki zenu kama mnastahili.
Embu thibitisha of his goodness!Mwanyika ni mtu mwadilifu sana na amekuwa ni nguzo kubwa sana kwa wafanyakazi wazawa na ni mcha Mungu.
Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.
[h=2]www.byrnecutoffshore.com/contact-us/][/h]
Byrnecut Offshore is an internationally recognised underground mining contractor that offers both a unique range of services and a wide range of experience. Since starting its international operations in 1999, it has grown into one of the most experienced underground mining contractors across the globe. Byrnecut Offshore currently employs over 1,000 people worldwide with operations currently in South Africa, Democratic Republic of the Congo, Ghana, Mali, Saudi Arabia, and Kazakhstan. [h=3][/h]
Duh! Kakuelewa kweli!M maana mwenyewe ushasema hajui chochote!!! Mi naona kama umejitukana mwenyewe na wale walioelewa japo hawahusiki na kauli zakeWe kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir