Ina maana kufunguka kwangu ntakuwa nawasanua jamaa basi ngoja niishie hapaMkuu naona unaendeleza usiseme hivyoo kuna mtu aliamini yeye akiipata nafasi ile ndo atakua anakula mpunga mrefu bongo nzima si umeona alivyojua jamaa wa nyumba anavuta pesa si mchezo akaanza zengwe mara standardization ya mishahara makelele mengi kumbe wivu unamsumbua
Mkuu naona unaendeleza usiseme hivyoo kuna mtu aliamini yeye akiipata nafasi ile ndo atakua anakula mpunga mrefu bongo nzima si umeona alivyojua jamaa wa nyumba anavuta pesa si mchezo akaanza zengwe mara standardization ya mishahara makelele mengi kumbe wivu unamsumbua
Thubutu .. Nitawapiga shangazi zenu..Hivi wanaume wameshatupa kishika uchumba?
Mkuu Noah ziliyeyuka na kua Balimi 7 per everyone,anaondoka na deni letu la 7×45000000 crates of Balimi Extra lagerAsiondoke huyo tunamdai Noah zetu.
Hawa walikuwa kwenye 20-25m per month
Kha!nilikuwa nafuatilia leseni ya udereva ngoja niachane nayo tu.Mkuu Noah ziliyeyuka na kua Balimi 7 per everyone,anaondoka na deni letu la 7×45000000 crates of Balimi Extra lager
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo feki ni pale unapokua unahamaisha watu walipe kodi halafu wewe haulipi kodi yani huo ni unafiki wa kiwango cha PhD feki ya korosho hahahaha watasema katiba katiba vifungu kibao vya katiba vimevunjwa akilipa kodi hapo kweli watu wataamini ni mzalendo sio uzalendo blah blah..ila kodi isikie tu kwa mwenzioKuna watu wamekalia roho mbaya na ushamba tu,duniani watu wanalipwa kwa competency na efficiency ,waende tu hapo kenya waone watu wanavyolipwa. Skills zinalindwa kwa pay na sio maneno ya uzalendo feki.
Mkuu umeharibu mbaya hapa yani mtu akipitia tu huu uzi anadika kwenye kikaratasi wanaanza kumsomesha namba za kirumi silaha iliopo ni kesi ya uhujumu uchumi hapo ndo mzizi wa fitina unakatwaIna maana kufunguka kwangu ntakuwa nawasanua jamaa basi ngoja niishie hapa
Teh teh
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Chief legal counsel hiyo hela ulotaja ni ndogo..pia kumbuka baadae akawa appointed vice president coorperate...Hawa walikuwa kwenye 20-25m per month
Duh sikujua mkuuMkuu umeharibu mbaya hapa yani mtu akipitia tu huu uzi anadika kwenye kikaratasi wanaanza kumsomesha namba za kirumi
Wakati mda si mrefu tutawalipa sisiHata kishika uchumba hatujapewa jamani!!
Wahi mkuu bado iko wazi.
Hivi wamejiuzulu pamoja na ubunge au ni uenyekiti tuu
Inaonesha humpendi Mwanyika wewe.Napendekeza Deo Mwanyika ateuliwe kuwa Mbunge na apewe Uwaziri wa MADINI hiyo nafasi aaimudu vizuri sana....!!!
Kesi inageuka usishangae tukawalipa sisi si umeona tanesco kwa iptl gia imegeuziwa angani!Hivi wanaume wameshatupa kishika uchumba?