DEO Kwimba sijui kafanyiwa umafia!!

DEO Kwimba sijui kafanyiwa umafia!!

Jaman mbona mnawashambulia walimu hvyo mambo ya mishahara kiduchu inahusiana vipi hapa?
Tena mkome kuwatukana walimu.unayemdharau sasa bila yeye usingekuwa na mshahara huo mkubwa.kitwanga wewe
 
Umeandika kwa mzuka sana, acha kuandika kwa mihemko
 
Mkome kudisi walimu kila mtu akibanwa haja anazungumzia walimu hebu kuweni na utu tuwafanyie nn mjue tuna manufaa kwenye familia zenu?
 
sijaelewa
Kwa summary DEO wa Kwimba akiwa katika kazi zake za kawaida shuleni kwao. Afisa mmoja kapewa Cheo cha uDEO wa Kwimba? Je umeelewa wakati yeye akijijua ni DEO naakiendelea na kazi za ujenzi wa Taifa. Hilki tukio kalilinganusha na 'UMAFIA"jeumeelewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom