Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Nimefanya mazungumzo na mwenyekiti wa ACA anadai vyama vya Siasa hasa CCM kupitia Serikali wamemuweka msukule ili wamtumie kwa maslahi yao na ndio maana hawataki kusema ukweli wa Deogratius Kisandu, kama anaishi maisha gani, anafanya niñi, wanachokifanya ni kutumia mawazo yake na kumkashifu.
Taarifa za kiintelejensia wanataka kumfedhehesha ili aonekane siye yeye, wakitumia watumishi wa umma kumwangamiza.
Taarifa za kiintelejensia wanataka kumfedhehesha ili aonekane siye yeye, wakitumia watumishi wa umma kumwangamiza.