Napata shida sana kuelewa deni la taifa limefikaje trilioni 20+?? hii pesa imenunulia nini? au imejenga kiwanda kipi? au imefanyia nn? kabla ya kuanza kulipa deni ingekuwa vizuri sana CAG apitie hilo deni aje na taarifa clear ya kuonyesha hiyo pesa ilivotumika??halafu wabunge wa magamba a.k.a vilaza wanapanua midomo, mishipa imewatoka macho utafikiri wamenaswa na mtego kuponda upinzani na kutetea serikali hii ya mafisadi inayoongozwa na mr. Dhaifu (Mh. Mnyika et al) Watanzania tuamke! wabunge wa upinzani na wachache wa magamba mnaojali wananchi msijali matusi,kejeli na dharau zichukueni kama agenda mzilete kwetu tutawapa hukumu ya haki kabisa kama tuliyowapa Arumeru mashariki recently!!na akina filikunjombe, Ester Bulaya, Mpina et al msisubiri mfukuzwe jiondoeni tuunganishe nguvu tuwang'oe hawa manyang,au!!