Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,492
Watamkataje sasa?
Kwako Deo,
Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.
Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.
Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Aende ACT wazalendo, Majembe mawili yanamaliza shamba fastaKwako Deo,
Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.
Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.
Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Je bado anayo nafasi ya kugombea kupitia vyama vingine?
labda ahame jimbo maana njombe ni ngome ya ccm
Watamkataje sasa?
deo alishalijua hilo kitambo
Aende ACT wazalendo, Majembe mawili yanamaliza shamba fasta
Nyuki akiwa adui yako fanya urafiki na ASALI YAKE.......
Mlete mada kwani wewe Deo akipata au akikosa inakuadhiri kivipi?
Kinana alivyo enda Ludewa alisema Deo ni mbunge wa kuigwa nchi nzima kwa kufuatilia kero za wananchi na kusimamia maendeleo kwa uhakika. Sasa anakatwaje hapo Katibu Mkuu wa CCM taifa kaona kazi zake