Deo Filikunjombe, Huko Njombe hautapitishwa na CCM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Kwako Deo,

Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.

Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.

Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Hahahahahahaha Brother bwana........yule hawezi kuhama na hatakatwa
 
Nilikuwa Ludewa karibuni. Jamaa anakubalika sana kwa wapiga kura ila Kiongozi mmoja wa tawi la CCM ambae ni rafiki wa mwenyeji wangu alikuwa akiongea kwa kujiamini sana kwamba iwe isiwe, Filikunjombe hawezi kupitishwa na hayo ni maelekezo ya kutoka juu.
​
 
Anakubalika sana na ni mchapakazi...lakini kasahau kuwa CCM hawapendi wachapakazi na wasema ukweli...utashangaa bunge lijalo wabunge wa CCM, kama watakuwepo, watakuwa aina ya Lusinde
 
teh teh
 
Jembe langu deo fanya maamuzi magumu mapema usijejuta kama lowasa sisi wanaludewa tutakupa full surport
 
Back
Top Bottom