kwani wewe akikosa akipata itakusaidia nini
Hilo ndilo ulojaaliwa,nimemuliza mleta mada sasa wewe umekurupuka hata mikono hukunawa sijui umekereka nini, pole anyway wacha nikujibu ili PB ikushuke,Deo nimtendaji na inaonekana wazi mwenye macho haabiwi tizama ...
hamna shule pale
Chama cha wanafiki ambacho hakina msimamo wa kueleweka, chama kinachojifanya kupambana na wezi huku kikwakaribisha kwa mlango wa nyuma na kuwaona wasafi hakimfai Mtu makini kama DEO!Chadema Mkubwa wewe!Lazima wewe utakuwa usalama wa taifa!!! Haiwezekani jembe kama Deo umshauri ahamie ACT Wajinga!!! Wewe unasikia chama hiki ni CCM B halafu jembe kama hili lihamie huko! Pigania uobgezwe mshahara achana na majembe ya wananchi!! CCM Mkubwa wewe!
Haendi kokote, anabaki njia kuu!ucmpangie pa kwenda mwenyewe anajua mitego yake
Haendi kokote, anabaki njia kuu!
Unakumbuka Aden Rage? Alishinda kura Tabora akawekwa kiporoNawashauri CCM wamwache tu na wakubali kushindwa, huko kwa Deo hamna mtu anaweza kushinda ubunge, hata kama mtaiba sidhani kama CCM wanaweza kuiba kura zote.
ya mtaa wa nyuma yako:smokin: